-
Katika hospitali, baada ya kutibiwa na daktari, mtu huwa anaweza kuambiwa: 请您先去交费. Tafadhali uende kutoa malipo kwanza.
请 qǐng, tafadhali.
您 nín, wewe.
先 xiān, kwanza.
去 qù, enda.
交费 jiāo fèi, kutoa malipo.
-
Daktari, nachukua dawa.
大夫 dài fu, doktari.
取药 qǔ yào, kuchukua dawa.
-
Daktari atakuambia namna ya kutumia dawa fulani, 这一瓶是外用的。Dawa ya chupa hii ni ya kupaka nje.
这 zhè, hii.
一瓶 yì píng, chupa moja.
是 shì, ni.
外用的 wài yòng de, ya kupaka nje.
-
Usitumie kwa makosa.
您别 nín bié, usifanye.
弄错 nòng cuò, kufanya makosa.