- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Unachukua kozi gani?
你 nǐ, wewe.
学 xué , kujifunza.
什么 shén me, gani.
专业 zhuān yè, kozi.
-
Somo letu ni lenye maana sana.
我们的 wǒ men de, letu.
课 kè, somo.
很 hěn, sana.
有意思 yǒu yì si, lenye maana.
-
Unachukua kozi gani?
-
Najifunza somo la uchumi.
-
Unapenda somo unalojifunza?
-
Napenda, somo letu ni lenye maana sana.