somo 56 Baa ya kutembea mtandao wa internet

 ongea na CRI
 
  • angalia
  • kujifunza
  • mazoezi
  • 正常播放     哪儿有网吧?Nǎr yǒu wǎngbā?
    Wapi kuna baa la mtandao wa internet?
    哪儿 nǎr, wapi.
    有 yǒu, kuna.
    网吧 wǎng bā, baa la mtandao wa internet.
  • 正常播放  慢速播放  A: 哪儿有网吧?
    Nǎr yǒu wǎngba?
    Wapi kuna baa la mtandao wa internet?
  • 正常播放  慢速播放  B: 我们学校东南角就有一个。
    Wǒmen xuéxiào dōngnánjiǎo jiù yǒu yí gè.
    Lipo moja kwenye kona ya kusini mashariki mwa shule yetu.