somo 56 Baa ya kutembea mtandao wa internet

 ongea na CRI
 

Hivi sasa mtandao wa internet umekuwa muhimu zaidi miongoni mwa vijana wa China, ambao wanatumia mtandao wa internet kutafuta data za aina mbalimbali, kutuma barua pepe, kutembelea na kusoma kwenye tovuti za mtandao wa internet, au kutumia software kufanya mawasiliano kwenye mtandao wa internet na marafiki zao walioko sehemu mbalimbali hata sehemu za nchi za nje.