somo 57 Kujiandikisha

 ongea na CRI
 
  • angalia
  • kujifunza
  • mazoezi
  • 正常播放     我的汉语不好。Wǒ de hànyǔ bù hǎo.
    Sijapata kichina vizuri.
    我的 wǒ de, yangu.
    汉语 hàn yǔ, lugha ya Kichina.
    不 bù , si.
    好 hǎo, vizuri.
  • 正常播放  慢速播放  A:您以前学过汉语吗?
    Nín yǐqián xuéguo hànyǔ ma?
    Uliwahi kujifunza lugha ya Kichina?
  • 正常播放  慢速播放  B:学过一点儿。我的汉语不好。
    Xuéguo yì diǎnr. Wǒ de hànyǔ bù hǎo.
    Niliwahili kusoma kidogo, sijapata vizuri.
  • 正常播放  慢速播放  A: 你说得挺好的。
    Nǐ shuōde tǐng hǎo de.
    Ulisema vizuri.