-
Unakubali kucheza dansi nami?
能 néng, weza.
跳支舞 tiào zhī wǔ, kucheza dansi moja.
吗 ma, kisaidizi cha neno. -
Nakununulia kikombe kimoja cha kinywaji, unakubali?
我请你 wǒ qǐng nǐ, nakununulia.
喝 hē, kunywa.
一杯 yì bēi, kikombe kimoja cha kinywaji.
好吗 hǎo ma, unakubali. -
Tukipata nafasi twende kula chakula pamoja, unakubali?
有空儿 yǒu kòngr, pata nafasi.
一起 yì qǐ, pamoja.
吃饭 chī fàn, kula chakula.
吧 ba, kisaidizi cha neno. -
Unapendeza sana!
你 nǐ, wewe.
真 zhēn, sana.
漂亮 piào liang, pendeza.