- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Haloo,tafadhali niambie wewe ni nani?
Wachina wanapopiga simu huzoea kusema kwanza "wei" kama Haloo kwa Kiingereza.
-
Haloo,tafadhali niambie wewe ni nani?
-
Haloo, mimi ni Wang Long.