- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Unapozungumza na mtu mwingine kuhusu muziki, unaweza kumwuliza: 你平时喜欢听什么音乐?Kwa kawaida unapenda kusikiliza muziki gani?
你 nǐ, wewe.
平时 píng shí, kwa kawaida.
喜欢 xǐ huan, penda.
什么 shén me, gani.
音乐 yīn yuè, muziki.
-
Napenda tu muziki wa rock ‘n’ roll.
我 wǒ, mimi.
就 jiù, tu.
爱听 ài tīng, penda kusikiliza.
摇滚乐 yáo gǔn yuè, muziki wa rock ‘n’ roll.
-
Kwa kawaida unapenda kusikiliza muziki gani?
-
Baadhi ya wakati napenda kusikiliza nyimbo za kienyeji, wakati mwingine napenda kusikiliza nyimbo za kisasa.
-
Kwa kawaida unapenda kusikiliza muziki gani?
-
Napenda tu muziki wa rock ‘n’ roll.