-
Unapozungumza na mtu mwingine kuhusu muziki, unaweza kumwuliza: 你平时喜欢听什么音乐?Kwa kawaida unapenda kusikiliza muziki gani?
你 nǐ, wewe.
平时 píng shí, kwa kawaida.
喜欢 xǐ huan, penda.
什么 shén me, gani.
音乐 yīn yuè, muziki.
-
Napenda tu muziki wa rock ‘n’ roll.
我 wǒ, mimi.
就 jiù, tu.
爱听 ài tīng, penda kusikiliza.
摇滚乐 yáo gǔn yuè, muziki wa rock ‘n’ roll.
-
Unapozumgumza na mtu mwingine kuhusu waimbaji, unaweza kumwuliza:你最喜欢的歌手是谁?Unapenda zaidi mwimbaji yupi?
你 nǐ, wewe.
最喜欢 zuì xǐ huan, penda zaidi.
歌手 gē shǒu, mwimbaji.
是 shì, ni.
谁 shéi, nani.
-
Kama watu wengi wanapenda kuimba wimbo mmoja, unaweza kusema: 这首歌最近特别流行。Wimbo huu unaenea sana hivi karibuni.
这首歌 zhè shǒu gē, wimbo huu.
最近 zuì jìn, hivi karibuni.
特别 tè bié, sana.
流行 liú xíng, enea.