-
Ukitaka kumwamsha mtu fulani, unaweza kusema, 该起床了。 Ungeamka.
该 gāi, takiwa.
起床 qǐ chuáng, amka.
了 le, kisaidizi cha neno. -
Hewa ya asubuhi ni safi sana!
早上 zǎo shang, asubuhi.
空气 kōng qì, hewa.
真 zhēn, sana.
好 hǎo, nzuri. -
Ukitaka kutembeatembea nje, unaweza kumpendekeza mtu mwingine:我们去散散步吧。Twende tukatembeetembee.
我们 wǒ men, sisi.
去 qù, go, enda.
散散步 sàn san bù, tembea tembea.
吧 ba, kisaidizi cha neno. -
Nakuja kila siku.
我 wǒ, mimi.
天天 tiān tiān, kila siku.
都 dōu, yote.
来 lái, kuja.