- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Wakati mashindano yanapoanza, unaweza kusema: 比赛开始了! Mashindano yameanza!
比赛 bǐ sài, mashindano.
开始 kāi shǐ, to start. anza.
了 le, kisaidizi cha neno.
-
Kama hujui nani na nani wanashindana, unaweza kuuliza: 谁和谁比?Nani na nani wanashindana?
谁 shéi, nani. Pia unaweza kusema 谁(shéi).
和 hé, na.
比 bǐ, shindana.
-
Mashindano yameanza, njoo haraka uangalie!
-
Nani na nani wanashindana?
-
Timu ya China inapambana na Timu ya Korea Kusini.