- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Dada yako mdogo anafanya kazi gani?
Unapozungumza na mwingine na kutaka kujua kazi yake ni nini, kwa mfano unataka kumwuliza: Dada yako mdogo anafanya kazi gani? Kwa Kichina unaweza kumwuliza moja kwa moja : Ni meimei shi zuo shen me de? Ni, wewe,meimei, dada mdogo, shi,ni, zuo, fanya, shen me, nini, de, kisaidizi cha neno.
-
Dada yako mdogo anafanya kazi gani?
-
Yeye ni mwalimu.
-
Wewe unafanya kazi gani?
-
Mimi ni mwandishi wa habari.