Fuwa ni vileta baraka kwenye Michezo ya 29 ya Olimpiki ya mwaka 2008. Wanasesere watano wenye majina ya Bei Bei, Jing Jing, Huan Huan, Ying Ying, Ni Ni wanapendeza sana, ukisoma majina yao kwa pamoja unaweza kuona kuwa maana ya majini yao ni "Beijing huan ying ni", maana yake ya Kichina ni Beijing inakukaribisha