somo 13 katika mkahawa wa chakula cha kichina

 ongea na CRI
 
  • marudio

  • mpango wa leo

  • play 1.   你想吃什么?
    Nǐ xiǎng chī shénme?
    Unataka kula chakula gani?
  • play 2.   我要一个汉堡,还有一杯红茶。
    Wǒ yào yí gè hànbǎo, hái yǒu yì bēi hóngchá.
    Nataka Hamburger pamoja na kikombe kimoja cha chai nyekundu
  • play 3.   在这儿吃还是带走?
    Zài zhèr chī háishì dàizǒu?
    Unakula hapa au unaondoka nacho?
  • play 4.   请问,洗手间在哪儿?
    Qǐngwèn, xǐshǒujiān zài nǎr?
    Tafadhali, msalani ni wapi?
  • play 5.   请你给我几张餐巾纸。
    Qǐng nǐ gěi wǒ jǐ zhāng cānjīnzhǐ.
    Tafadhali naomba karatasi za kufutia mikono.
  • play 1.   你们有什么特色菜?
    Nǐmen yǒu shénme tèsècài?
    Kipi ni chakula maarufu kwenye mkahawa huu?
  • play 2.   你需要刀叉吗?
    Nǐ xūyào dāochā ma?
    Unataka vijiko?
  • play 3.   请问你要红茶吗?
    Qǐngwèn nǐ yào hóngchá ma?
    Tafadhali niambie, unataka chai nyekundu?
  • play 4.   我们AA制吧。
    Wǒmen AAzhì ba.
    Tugawanye malipo kila mmoja atoe sehemu moja.