somo 16 katika mkusanyiko wa familia
-
 1. 你们喜欢吃辣的吗?
Nǐmen xǐhuan chī là de ma?
Mnapenda kula chakula cha pilipili?
-
 2. 我喜欢吃羊肉串。
Wǒ xǐhuan chī yángròuchuàn.
Mimi napenda kula mshikaki wa nyama ya kondoo.
-
 3. 这里面是什么?
Zhè lǐmian shì shénme?
Ndani ya chakula hiki ni nini?
-
 4. 我们去买点饮料吧。
Wǒmen qù mǎi diǎn yǐnliào ba.
Twende tukanunue vinywaji.
-
 1. 我很高兴认识你的家人。
Wǒ hěn gāoxìng rènshi nǐ de jiārén.
Nafurahi kufahamiana na watu wa familia yako.
-
 2. 这是我的拿手菜。
Zhè shì wǒ de náshǒucài.
Hiki ni kitoweo nilichopika vizuri.
-
 3. 你多吃点儿。
Nǐ duō chī diǎnr.
Ule zaidi.
-
 4. 下次请你们到我家做客。
Xià cì qǐng nǐmen dào wǒ jiā zuò kè.
Siku zijazo mnakaribishwa nyumbani kwangu.
|