- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Wewe tafadhali!
Kama unahudhuria karamu, unatakiwa kuonesha hali ya uungwana mbele ya watu, unaweza kusema,"nin xian qing", Wewe tafadhali. nin,wewe,xian,kwanza,qing,tafadhali.
-
usiwe na ukarimu mkubwa namna hii. Kama mwingine akisema "nin xian qing" wewe tafadhali, unaweza kujibu: "bie zhe me ke qi" usiwe na ukarimu mkubwa namna hii.
-
Wewe tafadhali.
-
Asante.
-
Wewe ni mgeni, tafadhali kaa hapa.
-
Haya, usiwe na ukarimu mkubwa namna hii.