-
Wewe tafadhali!
Kama unahudhuria karamu, unatakiwa kuonesha hali ya uungwana mbele ya watu, unaweza kusema,"nin xian qing", Wewe tafadhali. nin,wewe,xian,kwanza,qing,tafadhali.
-
usiwe na ukarimu mkubwa namna hii. Kama mwingine akisema "nin xian qing" wewe tafadhali, unaweza kujibu: "bie zhe me ke qi" usiwe na ukarimu mkubwa namna hii.
-
Tunywe kwa ajili ya mafanikio ya ushirikiano kati yetu.
Kwenye karamu wachina wanapenda kugonga glasi na kutakiana heri, kama vile wei wo men de he zuo cheng gong gan bei, tunywe kwa ajili ya mafanikio ya ushirikiano kati yetu, wei,kwa ajili ya, wo men de he zuo,ushirikiano kati yetu. cheng gong,mafanikio, gan ben,tunywe.
-
wei da jia de shen ti jian kang gan bei! Tunywe kwa ajili ya afya njema! Wei: kwa ajili ya. da jia de: ya wote. shen ti jian kang: afya njema. gan bei: gonga glasi,au tunywe.
-
Nashukuru kwa ukarimu wenu.
Kabla ya kuondoka, kama unataka kuwashukuru wenyeji unaweza kusema: :gan xie ni men de re qing kuan dai. Nashukuru kwa ukarimu wenu. gan xie,kushukuru, ni men de, wenu, re qing, uchangamfu, kuan dai, ukarimu.