somo 2 kushukuru na kuomba radhi

 ongea na CRI
 

Wachina ni wachangamfu na wakarimu . Wachina wanapenda kuwakaribisha wageni kwa vyakula vizuri. Wenyeji hufanya matayarisho mapema kabla ya siku kadhaa ili kuwakaribisha wageni.Ingawa wamepika vyakula vingi, lakini bado wanasema "Hakuna vingi, mvumilie na kula basi ", ili kuonesha wanatilia maanani na kuwaheshimu wageni.