- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Hii ni ya chapa gani? Ukienda sokoni kununua pikipiki ambayo labda siyo mpya, kwanza ni lazima uulize pikipiki hiyo ni ya chapa gani, unaweza kusema: zhe shi shen me pai zi de? Hii ni ya chapa gani?
Zhe, hii, Shi, ni, shen me, gani, pai zi,chapa, de, kisaidizi cha neno.
-
Hii ni ya chapa maarufu ya China
Hivi sasa bidhaa nyingi zinachapishwa maneno ya "made in China" duniani. Kuna chapa nyingi maarufu imekuwa na sifa yao duniani, kama "Haier". Chapa maarufu kwa Kichina ni: zhong guo ming pai. zhong guo,China, ming pai, chapa maarufu.
-
Hii ni ya chapa gani?
-
Hii ni ya chapa maarufu ya China.