somo 22 katika duka la nguo
-
 1. 我想买一件旗袍。
Wǒ xiǎng mǎi yí jiàn qípáo.
Nataka kununua gauni moja la Qipao.
-
 2. 这是什么料子的?
Zhè shì shénme liàozi de?
Hiki ni kitambaa cha aina gani?
-
 3. 蓝色的好还是黄色的好?
Lánsè de hǎo háishì huángsè de hǎo?
Kati ya nguo ya rangi ya buluu na ya rangi ya manjano, ipi inapendeza zaidi?
-
 4. 能试试吗?
Néng shìshi ma?
Naweza kujaribu kuvaa nguo hii?
-
 5. 能打折吗?
Néng dǎ zhé ma?
Naweza kupunguziwa bei?
|