somo 25 kuuliza njia ya kwenda sehemu fulani
-
 1. 哪儿有大的书店?
Nǎr yǒu dà de shūdiàn?
duka kubwa la vitabu liko wapi?
-
 2. 我要买本字典。
Wǒ yào mǎi běn zìdiǎn.
Nataka kununua kamusi.
-
 3. 我想买本北京导游手册。
Wǒ xiǎng mǎi běn Běijīng dǎoyóu shǒucè.
Nataka kununua kitabu kimoja cha kuelekeza watalii mjini Beijing.
-
 4. 请问英文小说在几层卖?
Qǐngwèn Yīngwén xiǎoshuō zài jǐ céng mài?
Tafadhali niambie, ni ghorofa ya ngapi vinauzwa vitabu vya hadithi vya Kiingereza?
-
 1. 请问地铁站在哪里?
Qǐngwèn dìtiězhàn zài nǎli?
Tafadhali niambie, kituo cha sabwe kiko wapi?
-
 2. 离这里远吗?
Lí zhèli yuǎn ma?
Ni mbali kutoka hapa?
-
 3. 我应该坐什么车去?
Wǒ yīnggāi zuò shénme chē qù?
Ningepanda gari gani kwenda kule?
-
 4. 您得去马路对面坐车。
Nín děi qù mǎlù duìmiàn zuò chē.
Ungeenda upande ule wa barabara hiyo kupanda gari.
|