- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
mashariki magharibi kusini kaskazini
Upande wa mashariki kwa Kichina ni: dong bian, dong: mashariki, bian: upande
upande wa magharibi ni : xi bian.
upande wa kusini ni : nan bian
upande wa kaskazini ni : bei bian
-
Tafadhali niambie, kituo cha subway kiko wapi?
Qing wen: tafadhali niulize. Di tie zhan: kituo cha subway. Zai na li: kiko wapi
-
Tafadhali niambie, kituo cha sabwe kiko wapi?
-
Nenda mbele moja kwa moja, mpaka njia ile ya mbele halafu uelekee upande wa kushoto.