-
 1. 请送我去中心医院。
Qǐng sòng wǒ qù Zhōngxīn yīyuàn.
Tafadhali nipeleke kwenye Hospitali ya Zhongxin.
-
 2. 知道怎么走吗?
Zhīdao zěnme zǒu ma?
Unaelewa namna ya kuelekea huko?
-
 3. 请您开慢点儿。
Qǐng nín kāi màn diǎnr.
Tafadhali usiendeshe gari kwa kasi.
-
 4. 就停在门口吧。
Jiù tíng zài ménkǒu ba.
Haya egesha hapa mlangoni.
-
 1. 有11号去上海的火车票吗?
Yǒu shíyī hào qù shànghǎi de huǒchēpiào ma?
Naweza kupata tiketi ya tarehe 11 ya kwenda
Shanghai?
-
 2. 到了给我们打电话。
Dàole gěi wǒmen dǎ diànhuà.
Ukifika tujulishe kwa simu
-
 3. 一路平安。
Yílù píng'ān.
Safari njema
-
 4. 请问餐车在几号车厢?
Qǐngwèn cānchē zài jǐ hào chēxiāng?
Tafadhali niambie behewa la chakula ni namba ngapi?
|