- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Naweza kupata tiketi ya tarehe 11 ya kwenda Shanghai?
Kama ukitaka kwenda Shanghai tarehe 11 kwa garimoshi, wakati wa kuagiza tiketi ya siku hiyo unaweza kusema: you shi yi hao qu shang hai de huo che piao ma? You: kuna, shi yi hao: tarehe 11, qu: kwenda, huo che piao: tiketi ya garimoshi.
-
Naweza kupata tiketi ya tarehe 11 ya kwenda
Shanghai? -
Tiketi zote za tarehe 11 zimenunuliwa.
-
Basi kuna tiketi ya tarehe 12?
-
Tuna tiketi za tarehe 12