- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa!
kama ukienda kushiriki kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya rafiki yako, utampongeza na kusema "Tunakutakia heri ya siku ya kuzaliwa kwako". Kwa Kichina unasema"zhù nǐ shēng rì kuài lè!"
"zhù": -takia; "nǐ": wewe; "shēng rì": siku ya kuzaliwa;"kuài lè": furaha.
Na jibu la sentensi hiyo linaweza kuwa "xiè xiè", ambayo tumejifunza kwenye kipindi kilichopita.
-
Huyu ni mdogo wangu wa kike. Leo ni siku yake ya kuzaliwa.
-
Nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa kwako!
-
Asante!