- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Nataka kuagiza chumba kimoja cha kawaida.
我想 wǒ xiǎng , nataka.
订 dìng, agiza.
一个标准间 yí gè biāo zhǔn jiān, chumba kimoja cha kawaida.
-
Malipo ya chumba ni pamoja na kifungua kinywa?
房费 fáng fèi, malipo ya chumba.
包括 bāo kuò, pamoja na.
早餐 zǎo cān, kifungua kinywa.
吗 ma, kisaidizi cha neno kwa kuuliza.
-
Nataka kuagiza chumba kimoja cha kawaida. Pesa ngapi kwa siku?
-
Kwa siku ni Yuan 500. Tafadhali tuambie utakaa kwa siku ngapi?
-
Nitakaa kwa siku nne.
-
Malipo ya chumba ni pamoja na kifungua kinywa?
-
Ni pamoja na malipo ya kifungua kinywa.