-
Nataka kuagiza chumba kimoja cha kawaida.
我想 wǒ xiǎng , nataka.
订 dìng, agiza.
一个标准间 yí gè biāo zhǔn jiān, chumba kimoja cha kawaida.
-
Malipo ya chumba ni pamoja na kifungua kinywa?
房费 fáng fèi, malipo ya chumba.
包括 bāo kuò, pamoja na.
早餐 zǎo cān, kifungua kinywa.
吗 ma, kisaidizi cha neno kwa kuuliza.
-
Nataka kupata huduma ya kuniamsha saa 1 asubuhi.
我要 wǒ yào, nataka.
7点 qī diǎn, saa 1.
叫醒 jiào xǐng, amsha.
服务 fú wù, huduma.
-
Tafadhali tuambie utaondoka saa ngapi?
请问 qǐng wèn, tafadhali niulize.
几点 jǐ diǎn, saa ngapi.
退房 tuì fáng, kuondoka hoteli.