-
 1. 我想租房。
Wǒ xiǎng zū fáng.
Nataka kupanga nyumba.
-
 2. 您想找什么样的房子?
Nín xiǎng zhǎo shénme yàng de fángzi?
Unataka kupanga nyumba ya namna gani?
-
 3. 您想花多少钱租?
Nín xiǎng huā duōshao qián zū?
Unataka kupanga nyumba kwa pesa ngapi?
-
 4. 什么时候能搬进来?
Shénme shíhou néng bān jìnlai?
Lini naweza kuhamia hapa?
-
 5. 房租怎么付?
Fángzū zěnme fù?
Nitalipa kodi ya nyumba kwa njia gani?
-
 1. 能上网吗?
Néng shàng wǎng ma?
Naweza kutembelea mtandao wa internet?
-
 2. 水电费和煤气费怎么交?
Shuǐdiànfèi hé méiqìfèi zěnme jiāo?
Nitalipia namna gani matumizi ya maji, umeme na gesi?
-
 3. 房租多少钱?
Fángzū duōshao qián?
Kodi ya nyumba ni kiasi gani?
-
 4. 我们什么时候签合同?
Wǒmen shénme shíhou qiān hétong?
Lini tutasaini makubaliano?
-
 5. 我给你开个收据。
Wǒ gěi nǐ kāi gè shōujù.
Nakuandikia risiti.
|