somo 37 Kupanga nyumba

 ongea na CRI
 
  • angalia
  • kujifunza
  • mazoezi
  • 正常播放     能上网吗? Néng shàng wǎng ma?
    Naweza kutembelea mtandao wa internet?
    能 néng, weza.
    上网 shàng wǎng , tembelea mtandao wa internet.
    吗 ma, kisaidizi cha neno kwa kuuliza.
  • 正常播放  慢速播放  A:能上网吗?
    Néng shàng wǎng ma?
    Naweza kutembelea mtandao wa internet?
  • 正常播放  慢速播放  B:可以上网。
    Kěyǐ shàng wǎng.
    Unaweza kutembelea mtandao wa internet.