-
 1. 请您先拿号,再去那边等候。
Qǐng nín xiān ná hào, zài qù nàbian děnghòu.
Tafadhali nenda kachukue namba yako, halafu uende kule kusubiri.
-
 2. 请问,需要等多长时间?
Qǐngwèn, xūyào děng duō cháng shíjiān?
Tafadhali niambie, natakiwa kusubiri kwa muda gani?
-
 3. 我想取点钱。
Wǒ xiǎng qǔ diǎn qián.
Nataka kuchukua pesa.
-
 4. 您取多少钱?
Nín qǔ duōshao qián?
Unataka kuchukua pesa ngapi?
-
 5. 请您输入密码。
Qǐng nín shūrù mìmǎ.
Tafadhali andika namba yako ya siri.
-
 1. 您要办理什么业务?
Nín yào bànlǐ shénme yèwù?
Unataka kusaidiwa nini?
-
 2. 我想换美元。
Wǒ xiǎng huàn měiyuán.
Nataka kubadilisha fedha na kupata dola za kimarekani.
-
 3. 现在的汇率是多少?
Xiànzài de huìlǜ shì duōshao?
Ubadilishaji wa fedha za renminbi kwa dola za kimarekani ni wa namna gani?
-
 4. 美元又跌了。
Měiyuán yòu diē le.
Thamani ya dola za kimarekani imeshuka tena.
|