somo 40 Kubadilisha fedha za kigeni

 ongea na CRI
 
  • angalia
  • kujifunza
  • mazoezi
  • 正常播放     您要办理什么业务? Nín yào bànlǐ shénme yèwù?
    Unataka kusaidiwa nini?
    您 nín, wewe.
    要 yào , taka.
    办理 bàn lǐ, saidiwa.
    什么 shén me, gani.
    业务 yè wù, mambo.
  • 正常播放     我想换美元。 Wǒ xiǎng huàn měiyuán.
    Nataka kubadilisha fedha na kupata dola za kimarekani.
    我想 wǒ xiǎng, nataka.
    换 huàn, kubadilisha.
    美元 měi yuán, dola za kimarekani.
  • 正常播放  慢速播放  A:您要办理什么业务?
    Nín yào bànlǐ shénme yèwù?
    Unataka kusaidiwa nini?
  • 正常播放  慢速播放  B:我想换美元。
    Wǒ xiǎng huàn měiyuán.
    Nataka kubadilisha fedha na kupata dola za kimarekani.
  • 正常播放  慢速播放  A: 您想换多少美元?
    Nín xiǎng huàn duōshao měiyuán?
    Unataka kupata dola ngapi za kimarekani?
  • 正常播放  慢速播放  B: 1500美元。
    Yìqiān wǔbǎi měiyuán.
    Dola za kimarekani 1,500.