-
Habari gani, unataka msaada?
Nchini China ukienda benkini kutoa malipo ya matumizi ya umeme au maji nyumbani, huenda mhudumu anaweza kukuuliza: 您好, 要帮忙吗?
您好 nín hǎo, habari gani.
要 yào, taka.
帮忙 bāng máng, toa msaada.
吗 ma, kisaidizi cha neno kwa kuuliza.
-
Nataka kutoa malipo ya matumizi ya simu.
我 wǒ, mimi.
交 jiāo, toa.
电话 diàn huà, simu.
费 fèi, gharama, malipo.
-
Nataka kutoa malipo ya matumizi ya umeme.
电费 diàn fèi, malipo ya matumizi ya umeme.
-
Benki wanapumzika jumapili?
银行 yín háng, benki.
星期日 xīng qī rì, jumapili.
休息 xiū xi, pumzika.
吗 ma, kisaidizi cha neno kwa kuuliza.