- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Rafiki yako akikohoa sana, unaweza kumwambia: 你得去看医生。Ni lazima uende kuonana na daktari.
你 nǐ, wewe.
得 děi, ni lazima.
去 qù, enda.
看 kàn, ona.
医生 yī shēng, daktari.
-
Wakati unataka rafiki yako kukufuata kwenda hospitali unaweza kusema: 你能陪我去医院吗? Unaweza kufuatana nami kwenda hospitali?
你 nǐ, wewe
能 néng, weza.
陪我 péi wǒ, kufuatana nami.
去 qù, enda.
医院 yī yuàn, hospitali.
吗 ma, kisaidizi cha neno kwa kuuliza.
-
Unakohoa sana namna hii, ni lazima uende kuonana na daktari.
-
Unaweza kufuatana nami kwenda hospitali?
-
Sawa, hakuna tatizo.