-
 1. 我给你开点儿感冒药。
Wǒ gěi nǐ kāi diǎnr gǎnmàoyào.
Nakuandikia dawa za mafua.
-
 2. 每天吃几次?
Měi tiān chī jǐ cì?
Natakiwa kula mara ngapi kwa siku?
-
 3. 一天三次,每次一片。
Yì tiān sān cì, měi cì yí piàn.
Mara tatu kwa siku, kila mara kidonge kimoja.
-
 4. 回去多喝水,好好休息。
Huíqu duō hē shuǐ, hǎohao xiūxi.
Unywe maji mengi na kupumzika vizuri baada ya kurudi nyumbani.
-
 1. 最近我牙疼。
Zuìjìn wǒ yá téng.
Siku hizi nahisi maumivu kwenye meno.
-
 2. 应该吃什么药呢?
Yīnggāi chī shénme yào ne?
Ningetumia dawa gani?
-
 3. 你试试这种药。
Nǐ shìshi zhè zhǒng yào.
Jaribu dawa ya aina hii.
-
 4. 这种药效果不错。
Zhè zhǒng yào xiàoguǒ bú cuò.
Dawa hii ina ufanisi mzuri.
-
 5. 有副作用吗?
Yǒu fùzuòyòng ma?
Dawa hii ina madhara?
|