- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Ukihisi maumivu kwenye meno, unaweza kumwambia daktari: 最近我牙疼。Siku hizi nahisi maumivu kwenye meno.
最近 zuì jìn, siku hizi.
我 wǒ, mimi.
牙 yá, meno.
疼 téng, uma.
-
Siku hizi nahisi maumivu kwenye meno.
-
Hali hii ilianza lini?
-
Juzi.