somo 52 Shule ya chekechea
-
 1. 你好点儿了吗?
Nǐ hǎo diǎnr le ma?
Umepata nafuu kidogo?
-
 2. 在医院里真没意思。
Zài yīyuàn lǐ zhēn méi yìsi.
Nikilazwa hospitalini sioni furaha.
-
 3. 你这个星期能出院吗?
Nǐ zhège xīngqī néng chū yuàn ma?
Unaweza kutoka hospitali wiki hii?
-
 4. 祝你早日恢复健康。
Zhù nǐ zǎorì huīfù jiànkāng.
Tunakutakia upone haraka.
-
 1. 有没有班车?
Yǒu méiyǒu bānchē?
Kuna basi la kuwachukua watoto?
-
 2. 每天几点接送?
Měi tiān jǐ diǎn jiē sòng?
Kila siku basi hili linawachukua saa ngapi?
-
 3. 端午节我们放三天假。
Duānwǔjié wǒmen fàng sān tiān jià.
Tumepata siku tatu za mapumziko wakati wa siku kuu ya Duanwu.
-
 4. 这张贺卡送给您!
Zhè zhāng hèkǎ sònggěi nín!
Nakupata kadi hiyo ya pongezi!
|