- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Darasani mwalimu huuliza na kusema: 有问题吗? Kuna tatizo gani?
有 yǒu, kuna.
问题 wèn tí, tatizo.
吗 ma, kisaidizi cha neno.
-
Neno hili maana yake nini?
这个 zhè ge, hili.
字 zì, neno.
是 shì, ni.
什么 shén me, nini.
意思 yì si, maana.
-
Shikamoo, mwalimu Wang!
-
Hujambo, kuna tatizo gani?
-
Neno hili maana yake nini?
-
Ninakufahamishie kidogo.