-
Darasani mwalimu huuliza na kusema: 有问题吗? Kuna tatizo gani?
有 yǒu, kuna.
问题 wèn tí, tatizo.
吗 ma, kisaidizi cha neno. -
Neno hili maana yake nini?
这个 zhè ge, hili.
字 zì, neno.
是 shì, ni.
什么 shén me, nini.
意思 yì si, maana. -
Tafadhali ueleze tena.
请 qǐng, tafadhali.
您 nín, wewe.
再 zài, tena.
说 shuō,eleza.
一遍 yí biàn, mara moja. -
Tafadhali ueleze polepole.
请 qǐng, tafadhali.
慢 màn, polepole.
一点儿 yì diǎnr , kidogo.
说 shuō, eleza.