- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Ukiwa baa huweza kumwambia mhudumu na kusema: 我要一瓶啤酒。Nataka chupa moja ya bia.
我要 wǒ yào, nataka.
一瓶 yì píng , chupa moja.
啤酒 pí jiǔ, bia.
-
Unataka vinywaji gani?
-
Nataka chupa moja ya bia.
-
Tafadha subiri kidogo, utaletwa sasa hivi.
-
Asante.
-
Unataka bia ya aina gani?
-
Nataka bia ya chupa.