-
Ukiwa baa huweza kumwambia mhudumu na kusema: 我要一瓶啤酒。Nataka chupa moja ya bia.
我要 wǒ yào, nataka.
一瓶 yì píng , chupa moja.
啤酒 pí jiǔ, bia. -
Unataka bia ya aina gani?
您要 nín yào, unataka.
哪种 nǎ zhǒng, aina gani.
啤酒 pí jiǔ, bia. -
Unataka kuongezwa barafu?
要 yào, taka.
加 jiā, ongeza.
冰 bīng, barafu.
吗 ma, kisaidizi cha neno. -
Kuna vinywaji vya soda?
有没有 yǒu méi yǒu, kuna au hakuna.
碳酸饮料 tàn suān yǐn liào, vinywaji vya soda.