- angalia
- kujifunza
- mazoezi
-
Ninakualika kwenda kutazama maonesho ya opera ya Beijing.
我请你 wǒ qǐng nǐ, ninakualika.
去 qù, kwenda.
看 kàn, kutazama.
京剧 jīng jù, maonesho ya opera ya Beijing.
-
Ni vigumu kuelewa maneno ya maonesho, hivyo unaweza kuuliza: 有没有字幕?Kuna tafsiri ya maneno kwenye maonesho?
有 yǒu, kuna.
没有 méi yǒu, hakuna.
字幕 zì mù, tafsiri ya maneno.
-
Ninakualika kwenda kutazama maonesho ya opera ya Beijing.
-
Kweli? Vizuri sana! Mimi sijawahi kwenda kutazama maonesho ya opera ya Beijing.
-
Kuna tafsiri ya maneno kwenye maonesho? Nahofia kwamba sitaelewa.
-
Hakuna tatizo.