-
Ninakualika kwenda kutazama maonesho ya opera ya Beijing.
我请你 wǒ qǐng nǐ, ninakualika.
去 qù, kwenda.
看 kàn, kutazama.
京剧 jīng jù, maonesho ya opera ya Beijing.
-
Ni vigumu kuelewa maneno ya maonesho, hivyo unaweza kuuliza: 有没有字幕?Kuna tafsiri ya maneno kwenye maonesho?
有 yǒu, kuna.
没有 méi yǒu, hakuna.
字幕 zì mù, tafsiri ya maneno.
-
Kufunga simu ya mkononi wakati unapotazama maonesho ni tabia nzuri, unaweza kuwapendekeza watu wengine: 咱们把手机关了吧。Tufunge simu zetu za mkononi.
咱们 zán men, sisi.
把 bǎ, fanya.
手机 shǒu jī, simu ya mkononi.
关 guān, funga.
了 le, kisaidizi cha neno.
吧 ba,kisaidizi cha neno.
-
Sura hizo za wahusika wa opera ya Kibeijng zinapendeza kweli!
多漂亮的 duō piào liang de, pendeza sana.
脸谱 liǎn pǔ, sura za wahusika wa opera ya Beijing.