somo 64 Katika jumba la makumbusho
-
 1. 我请你去看京剧。
Wǒ qǐng nǐ qù kàn jīngjù.
Nakualika kwenda kutazama maonesho ya opera ya Beijing.
-
 2. 有没有字幕?
Yǒu méiyǒu zìmù?
Kuna tafsiri ya maneno kwenye maonesho?
-
 3. 咱们把手机关了吧。
Zánmen bǎ shǒujī guān le ba.
Tufunge simu zetu za mikono.
-
 4. 多漂亮的脸谱!
Duō piàoliang de liǎnpǔ!
Sura hizo za wahusika wa opera ya Kibeijng zinapendeza kweli!
-
 1. 这儿可以拍照吗?
Zhèr kěyǐ pāi zhào ma?
Naruhusiwa kupiga picha hapa?
-
 2. 请不要使用闪光灯。
Qǐng búyào shǐyòng shǎnguāngdēng.
Usitumie mwanga wa kamera.
-
 3. 有解说员吗?
Yǒu jiěshuōyuán ma?
Yupo mwelezaji?
-
 4. 最近还有什么新展览?
Zuìjìn hái yǒu shénme xīn zhǎnlǎn?
Hivi karibuni kutakuwa na maonesho gani mapya?
|