somo 9 zungumzia kuhusu hali
-
 1. 你妹妹是做什么的?
Nǐ mèimei shì zuò shénme de?
Dada yako mdogo anafanya kazi gani?
-
 2. 你觉得她怎么样?
Nǐ juéde tā zěnmeyàng?
Unaona yeye ni mtu wa namna gani?
-
 3. 她很漂亮。她特别聪明。
Tā hěn piàoliang. Tā tèbié cōngming.
Yeye ni mrembo. Yeye ni hodari sana.
|