somo 9 zungumzia kuhusu hali

 ongea na CRI
 
  • angalia
  • kujifunza
  • mazoezi
  • 正常播放   怎么了?Zěnme le?
    Vipi , una tatizo gani? Wakati unapoambiwa kuwa mtu fulani amekumbwa na tatizo, unaweza kusema: Zen me la? Vipi, una tatizo gani.
  • 正常播放  慢速播放  A:怎么了?
    Zěnme le?
    Vipi , una tatizo gani?
  • 正常播放  慢速播放  B:我肚子疼。
    Wǒ dùzi téng.
    Tumbo linaniuma.