Kwa desturi na mila za China, katika familia moja, wazee huwa na hadhi ya juu ambao huamua mambo yote. Lakini hivi sasa familia nyingi ambazo kila moja ina watu watatu, baba, mama na mtoto, hivyo watoto hudekezwa sana, ambao wanapendwa na watu wote wa familia zao