• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano mkuu wa 18 wa kufungwa wa Chama cha kikomunisti cha China wafanyika

    (GMT+08:00) 2012-11-14 10:51:19

    Mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha kikomunisti cha China utafungwa leo hapa Beijing. Mkutano huo utachangua wajumbe wa kamati kuu mpya ya chama, wajumbe wa kamati kuu mpya ya ukaguzi wa nidhabu, na kupitisha ripoti iliyotolewa na kamati kuu ya 17 ya Chama cha kikomunisti cha China, ripoti ya kazi ya kamati kuu ya ukaguzi wa nidhamu, na rasimu ya marekebisho ya Katiba ya Chama cha kikomunisti cha China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako