• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya

 • Mkutano wa mwaka wa Bunge la Umma la China wafunguliwa leo mjini Beijing
  More>>
  Habari
  • China yajitahidi kufikia lengo la kukamilisha ujenzi wa jamii yenye maisha bora kwa pande zote mwaka huu 2020-05-22
  • China kuhakikisha watu wote maskini wanaondokana na umaskini 2020-05-22
  • China kutoa dhamana maalumu za serikali zenye thamani ya dola bilioni 140.6 za kimarekani kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona 2020-05-22
  • China kulinda mfumo wa kimataifa wenye kiini cha Umoja wa Mataifa 2020-05-22
  • China kudumisha ustawi na utulivu wa Hong Kong na Macau 2020-05-22
  More>>
  Maelezo
  • Ahadi ya China kwa washirika wa kiuchumi ni habari njema hasa kwa Afrika

  Dunia kwa sasa inapambana vurugu inayotokana na janga la chamuko la homa ya Corona. Waangalizi wengi wanashikilia mtazamo kwamba janga hili litavuruga uchumi wa dunia kwa kiwango ambacho kamwe haijawahi kutokea. Hata ingawa ukubwa kamili wa athari zake haujadhihirika kwa sasa, siku za baadaye kwa nchi nyingi hasa katika mataifa yanayoendelea yamejaa mashaka.

  Ili kustahimili dhoruba ya janga hili, mataifa lazima yapigane na ugonjwa huu kwa pamoja. Katika vita hivi, mimi, kama wengine wengi walivyohoji, kwa maoni yangu, hakuna yeyote anayefaa kuachwa nyuma. Huu si wakati wa mwenye nguvu mpishe bali hii ni safari ambapo mwenye nguvu lazima amsaidia aliye dhaifu.

  • China imeipa kipaumbele ustawi wa raia wake na hali njema duniani

  Macho yote kwa sasa yameelekezewa China wakati huu ambapo viongozi na wabunge nchini humo wanakutana tena kwa mkutano wa bunge wa mwaka, jijini Beijing. Hii hasa inatokana na kuzuka kwa maradhi ya covid-19 ambayo imeyumbisha uchumi wa dunia kwa kiwango ambacho kamwe haijawahi kushuhudiwa.

  • Otiato Wafula ana matumai juu ya Mikutano miwili ya China

  Mtaalamu na Mhadhiri wa Soshiolojia na Siasa ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Kenyatta Dkt Otiato Wafula anasema kuwa katika mkutano wa mwaka huu ambao uliahirishwa kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona,na ambao utafanyika kwa njia ya video,mbali na serikali ya China kuzungumzia malengo yake ya mwaka unaofuata inafaa kuueleza ulimwengu na kujitakasa kuhusu tuhuma inazorushiwa na Marekani kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Corona.

  More>>
  Picha

  China kukamilisha mfumo wa uendeshaji wa soko wa makampuni yanayomilikiwa na taifa

  China kuongeza nguvu ya kupunguza kodi na gharama

  Mkutano wa mwaka wa Bunge la Umma la China wafunguliwa leo mjini Beijing

  Mkutano wa Bunge la Umma la China kuanza May 22
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako