• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Wazee wakumbwa matatizo katika maisha ya kidigitali nchini China 2020-09-18
  Wakati teknolojia mpya zinapoleta urahisi mbalimbali kwa maisha ya watu, pia zinawatatiza wazee wengi. Hasa katika maambukizi ya virusi vya Corona, mambo mengi yanatakiwa kufanywa kupitia mtandao wa Internet, hivyo wazee wengi wanaoishi maisha ya mtindo wa jadi wameathiriwa kutokana na kutofahamu namna ya kutumia simu za kisasa.
  • Jicho Mwanamume afungwa kwa kujaribu kumchoma mwanamke kwa sindano yenye virusi vya HIV 2020-09-16
  Mwanamume aliyeambukizwa Ukimwi kutoka mkoa wa Shandong amehukumiwa kifungo cha miezi 18 kwa kupanga kumchoma mwanamke kwa kutumia sindano yenye virusi vya HIV baada ya mwanamume mmoja kumtaka afanye hivyo kwa malipo.
  • Majukwaa ya usambazaji wa vyakula yatoa mipango ya kupunguza matumizi ya kupita kiasi ya vyakula 2020-09-14
  Ripoti kuhusu matumizi ya kupita kiasi ya vyakula katika miji ya China imeonesha kuwa, hivi sasa hali ya matumizi ya kupita kiasi ya vyakula ni mabaya zaidi kwenye migahawa, watalii, wanafunzi wa shule za msingi na sekondari… Kutokana na hali hii, majukwaa mbalimbali ya usambazaji wa vyakula ya China yametoa mipango ya kubana matumizi ya vyakula.
  • Yaya Apigwa Picha Akimpiga Mtoto Mchanga 2020-09-11
  Yaya mmoja nchini China amerekodiwa kwa picha ya video na kamera ya usalama nyumbani akimpiga mtoto mchanga mwenye umri wa siku sita. Baba wa mtoto huyo Bw. Tian amewaambia polisi kuwa alishtuka sana baada ya kutazama video hiyo kupitia simu yake ya mkononi wiki iliyopita.
  • Baba Amtupa Mtoto Wake Mchanga Karibu na Pipa la Taka 2020-09-10
  Mwanamume mmoja wa China mwenye umri wa miaka 24 amemtupa mtoto wake wa kike karibu na pipa la taka.Mwanamume mmoja wa China mwenye umri wa miaka 24 amemtupa mtoto wake wa kike karibu na pipa la taka.
  • Soko la Xinfadi la Beijing lafunguliwa tena 2020-09-09
  Baada ya kusimamishwa kwa Soko la Xinfadi la Beijing kwa miezi miwili kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona, kuanzia tarehe 15 Agosti, eneo la kusini la soko hilo limefunguliwa rasmi, na soko hilo litafunguliwa kabisa kuanzia tarehe 10 Septemba. Baada ya kufunguliwa tena, soko hilo halitafanya biashara ya rejareja, litashughulikia mauzo ya jumla tu, na soko lenye eneo la mita za mraba 1000 litajengwa nje kushughulikia biashara ya rejareja kwa wakazi.
  • Kijana mwenye umri wa miaka 18 apatwa ugonjwa wa jongo (gout) kutokana na kupenda kunywa vinywaji vyenye sukari 2020-09-08
  Hivi karibuni kijana mwenye umri wa miaka 18 kutoka mji wa Foshan, mkoani Guangdong, alipelekwa hospitali kutokana na kupendelea vinywaji vyenye sukari. Aligunduliwa kupatwa ugonjwa wa jongo la dharura baada ya kufanyiwa upimaji.
  • Video Yaonesha Mume Aliyebeba Mtoto Kifuani Akimshikilia Mwavuli Mke Wake 2020-09-07
  Video inayoonesha mume mmoja aliyebeba mtoto kifuani akimshikilia mwavuli mke wake wakati anakula tambi, imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii nchini China n kuleta mjadala.
  • Msichana Atoroka Ndoa ya Kulazimishwa 2020-09-04
  Msichana mwenye umri wa miaka 17 anayeishi mkoani Guangdong amefanikiwa kukimbia ndoa ya kulazimishwa aliyopangiwa na wazazi wake, baada ya kutafuta msaada wa kisheria.
  • APP Ya Kwanza ya Kuripoti Uhalifu Dhidi Ya Vijana 2020-09-03
  Hivi karibuni App maalumu ya kwanza ya kuripoti uhalifu dhidi ya vijana imezinduliwa mjini Chongqing. App hiyo iliyobuniwa kwa pamoja na Idara ya kuendesha mashtaka na idara ya polisi ya wilaya ya Jiulongpo mjini Chongqing, hivi sasa inafanyiwa majaribio mtandaoni.
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako