• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa kufanya ziara nchini China

    (GMT+08:00) 2018-04-05 08:22:32

    Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Bw. Antonio Guterres leo anakuja China na kukutana na viongozi wa China hapa Beijing. Msemaji wake Bw. Stephane Dujarric amesema kwenye ziara hiyo Bw. Guterres pia atatembelea kituo cha mafunzo ya kijeshi kwa walinzi wa amani kilichoko pembezoni mwa Beijing. Baadaye atakwenda Boao mkoani Hainan kuhudhuria na kuhutubia ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Baraza la Asia la Boao utakaofanyika Jumapili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako